Kajala: nafanya kitu ninachopenda

Kajala: nafanya kitu ninachopenda

Wakati watu wakizidi kumrushia maneno #KajalaMasanja kuhusiana na picha alizo-post kwenye mitandao ya kijamii, siku ya birthday yake kuwa haziendani na umri aliyonao, # Kajala ameshindwa kuvumilia maneno hayo na kuwajibu mashabiki.

Kajala amejibu kwa kusema kuwa hajali watu wanayosema bali anaangalia kufanya kitu anachokipenda,

 “mimi sijali watu wanaongea nini kuhusu picha zangu ninazo-post, ninacho angalia kufanya kitu ninachopenda na hata comment zao sizisomi so watakao andika na waandike mimi na post picha naondoka”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags