Kajala: Maisha ni yangu mazishi ya kwenu

Kajala: Maisha ni yangu mazishi ya kwenu

Mwigizaji wa Bongo movie #KajalaMasanja amewatolea povu watu wanaofuatilia na kutaka kumuharibia jina lake amedai kuwa maisha ni yake ila mazishi ni yao.

Kajala ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ame-post picha yake iliyo ambatana na video na kuandika ujumbe kuwa yeye hata umuharibie bado ataishi anavyo taka yeye maisha ni yake  mazishi ya kwao wanao mharibia.

“Mimi hata mniharibia jina aje naishi ninavyotaka maisha ni yangu mazishi ndiyo yenu” Ameandika.

Hata hivyo maneno yamekuwa mengi sana mitandaoni yakitaja kuwa mwanamama huyo ambaye ni nguli kwenye tasnia ya filamu nchini bado hajakubali kuwa mwanamke ambaye umri wake umesogea kutokana na  lifestyle yake hasa katika masuala ya mavazi kama binti wa miaka 18.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags