‘Klabu’ ya #KaizerChiefs kutoka Afrika Kusini imefufua tena mbio za kuisaka ‘saini’ ya ‘Kocha’ wa #FARRabat, #NasreddineNabi.
Hii ni mara ya pili kuhitaji huduma ya #Nabi ambapo awali wakati ‘Kocha’ huyo akiachana na #Yanga walikaribia kunasa ‘saini’ yake kabla ya ‘Kocha’ huyo kubadili akili yake na kutua #Rabat.
#Nabi ameendelea kuwa na wakati mzuri #Rabat ambapoa anaongoza msimamo wa ligi wakikusanya alama 17 katika ‘mechi’ 8.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi

Leave a Reply