Justine Bieber msanii bora 2021

Justine Bieber msanii bora 2021

Staa wa muziki nchini Canada Justin Bieber ameibuka na Tuzo ya msanii bora wa mwaka 2021 katika tuzo za VMAS(video music awards)zilizo fanyika jana.

Vilevile msanii huyo alibahatika kuchukua tuzo nyingine ya Best pop wa mwaka kupitia ngoma yake ya “peaches” aliomshirikisha Daniel Caesar @danielcaesar & Giveon @giveon, nyimbo hiyo ilitolewa rasmi march 19,2021.

Mpaka sasa Justien Beiber ameshinda tuzo 303 na Tuzo za kuteuliwa yaani Nominations  jumla ni 689.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags