Jide hapashi viporo kurudiana na Ex , Anaona kinyaa

Jide hapashi viporo kurudiana na Ex , Anaona kinyaa

Mwanamuziki mkongwe nchini #Lady Jaydee amedai kuwa huwa hapashi viporo, akiachana na mtu basi ni ngumu kurudiana naye kwani huwaa anaona kinyaa kurudiana.

Ameyasema hayo kwenye video aliyo-share katika ukurasa wake wa #Instagram na kueleza kuwa kama mtu mwanzo hakuwa mzuri anawezaje kuwa mzuri tena, yeye huwa anaona kinyaa.

Jide alisema hayo baada ya kuulizwa swali na mwanadada ambaye alikuwa akizungumza naye kwenye video hiyo.

Hata hivyo swala la kutopasha viporo ni moja kati ya mistari iliyopo kwenye wimbo wake mpya wa ‘Mambo matano’.

Dondosha comment yako utuambie je wewe unaweza kupasha viporo?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags