Jeezy na Mai sio mke na mume tena

Jeezy na Mai sio mke na mume tena

Inadaiwa kuwa Rapa  kutoka Marekani, Young Jeezy na mkwe Jeannie Mai ambaye ni mtangazaji wapeana talaka, huku ndoa yao ikiwa imedumu kwa miaka miwili tu.

Aidha Jeezy na Mai walifunga ndoa mwaka 2021 na wana mtoto mmoja wa kike, tukio hilo limepelekea mashabiki wa watu hao wawili kushangazwa huku wengi kwenye mitandao ya kijamii wakidai ndoa hiyo haina muda mrefu tangu kufungwa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags