Irene Uwoya: Natafuta mtu wa kunichekesha

Irene Uwoya: Natafuta mtu wa kunichekesha

Hii sasa kali Nyota Wa Filamu  Bongo Irene Uwoya katika ukurasa wake wa instagram ame-share video fupi akisema kwamba anatafuta mtu kwaajili ya kumchekesha

"Natafuta Mtu Kwaajili Ya Kunichekesha..Mtu Ambaye Atakuwa Anatembea Na Mimi Masaa 24.. Nitamlipa"

Daaah haya mdau dondosha comment yako hapo chini hiyo unaionaje?funguka

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags