Irene Paul : Kuna muda natamani ndoa

Irene Paul : Kuna muda natamani ndoa

Aloooh weeeh, mambo yamekua mambo bwana kutoka kwa Muigizaji wa Bongo movie Irene Paul ameamua kushare jambo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika ujumbe huu hapa bwana.

“Kuna muda naitamani ndoa ila….nikikumbuka matukio hamu inaishaa nimejiwazia tu sema ndiyo hivyo hujui ulichopangiwa”

Nyieeeee haya mambo ya ndoa haya unaipa asilimia ngapi kauli ya muigizaji huyo? Dondosha comment yako hapo chini.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags