Ice Spice ataka mashabiki wazingatie muziki wake na siyo mahusiano yake

Ice Spice ataka mashabiki wazingatie muziki wake na siyo mahusiano yake

Mwanamuziki Ice Spice kutoka nchini Marekani amesema kuwa anataka mashabiki wake waingatie zaidi muziki wake kuliko mahusiano yake.

Ice akiwa kwenye mahojiano na Los Angeles Times, alithibitisha kuwa yuko kwenye mahusiano lakini hataki kuweka wazi mpenzi wake kwani anachotaka watu wakifahamu zaidi kuhusu yeye ni muziki wake na siyo mahusiano yake.

Ice Spice amekuwa akifanya vizuri kwenye na ngoma kama vile ‘Deli’, huku masaa matatu yaliyopia ameachia ngoma mpya na mwanamuziki kutoka Nigeria Rema iitwayo ‘Pretty Girl’






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags