Huyu hapa mtendaji mkuu mpya simba

Huyu hapa mtendaji mkuu mpya simba

Taarifa rasmi kutoka uongozi wa Simba leo  umemtangaza rasmi Iman Kajula kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa kikosi hicho, akichukua nafasi iliyoachwa  na aliyekuwa CEO wao Barbara Gonzalez.

Kajula amejiunga na Simba kama Mtendaji Mkuu kuitumikia nafasi hiyo mara baada ya Barbara kufikia uamuzi wa kujiuzulu Desemba 10, mwaka jana huku akitoa notisi ya mwezi mmoja kwa ajili ya kukabidhi ofisi.
 
Kabla ya kutangazwa kushika nafasi hiyo Kajula alikuwa akihudumu kama hapo CEO wa EAG Group Tanzania, tangu mwaka 2013,

Ebwanaa eeeh dondosha comment yako hapo chini unauonaje uteuzi huo funguka.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags