Huyu hapa mpenzi mpya wa Hamisa Mobetto

Huyu hapa mpenzi mpya wa Hamisa Mobetto

Baada ya kuwa na tetesi za penzi jipya la mrembo Hamisa Mobetto, baada ya picha zake kusambaa akiwa na mwanaume ambaye anaonekana upade wa mgongo na kupelekea wengi kutaka kufahamu kuwa ni nani mwanaume huyo.

Kama ilivyo kawaida penzi kikohozi halijifichi, shemeji huyo wa taifa sasa amefahamika mara baada ya kushindwa kuficha hisia zake na kumpost Hamisa katika ukurasa wake wa #Instagram.

Mwanaume huyo anafahamika kwa jina la #Kevinsonwax ambaye ni mmiliki wa kampuni ya usafirishaji mizigo na mmiliki wa mgahawa nchini Ufaransa, anaonekana kukolea kwenye penzi la bibie Hamisa na kumwagia maua yake.  #Kevinsonwax ameandika

From the moment I saw you, I knew you were the one. The more I got to know you, the stronger my feelings grew, im grateful to have you in my life and excited for our future experiences. Akimaanisha,

Tangu nilipokuona nilijua kuwa wewe ndiye, kadri nilivyozidi kukufahamu zaidi hisia zangu zilizidi kukua, nina furaha kuwa na wewe katika maisha yangu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags