Hudson humwambii kitu na ‘Shu’ ya Diamond

Hudson humwambii kitu na ‘Shu’ ya Diamond

Mchezaji wazamani wa ‘klabu’ ya #Chelsea mbaye kwa sasa anachezea ‘klabu’ ya #Nottingham, Hudson Odoi ameonesha kuburudishwa na wimbo wa DiamondPlatnumz ‘Shu’ aliyomshirikisha msanii kutoka Afrika Kusini #Chley.

Wimbo huo una miezi miwili tangu utoke na mjini #YouTube mpaka sasa umefikisha watazamaji milioni7.7.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags