Hilda Baci: Nitabaki kuwa mmiliki wa rekodi

Hilda Baci: Nitabaki kuwa mmiliki wa rekodi

Ikiwa zimepita siku chache tangu ‘rekodi’ ya mpishi maarufu kutoka Nigeria Hilda kuvunjwa amedai kuwa kwenye roho yake na historia atabaki kuwa mmiliki wa rekodi hiyo ya dunia ya Guinnes.

Kupitia ukurasa wake wa X Hilda ameandika kuwa “Ninabaki kuwa mmiliki wa ‘rekodi’ ya dunia ya Guiness katika roho na historia”

Rekodi hiyo ya dunia ya Guiness kwenye mashindano ya kupika kwa muda mrefu zaidi ilivyunjwa na #AlanFisher kutoka #Ireland kwa kupika saa 199 na dakika 57.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags