Hii ndiyo maana ya kula kwa jasho

Hii ndiyo maana ya kula kwa jasho

‘Rapa’ kutoka Canada, Drake ameonesha ni kwa kiasi gani anatokwa na jasho baada ya kumaliza kufanya show.

Kupitia video inayosamba mitandaoni inamuonesha Drake akivua vest yake na kuikamua ambapo ilikuwa ikitoka jasho kama ilikuwa imetoka kufuliwa, jambo ambalo limewavutia mashabiki wengi huku wakimpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya.

Drake na J. Cole wanatarajia kufanya show kesho Machi 23, Sunrise, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ambayo itatamatika Aprili 16 kwenye Ukumbi wa Ball Arena huko Denver, Colo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags