Harmonize :Umeniingiza Chaka

Harmonize :Umeniingiza Chaka

 

Yes moja kati ya story iliyozua gumzo mitandaoni ni hii hapa inayomuhusu Msanii wa muziki wa bongo fleva Rajabu Abdul maarufu Harmonize ameandika ujumbe huu kupitia mtandao wake wa Insta kwenye Insta Story yake.

"Umeniingiza chaka mbona la kwangu halifanyi kazi  Zamaradi Mketema, kutana na binadamu wa kwanza kuwaelezea wanano wapenda kupitia billboard".

Harmonize ameandika ujumbe huo baada ya kujaribu njia mbalimbali za kutaka kumrudisha mwanamke aliyekua naye kwenye mahusiano mwadada Frida Kajala.
Aisee ebwanaa kama kuna njia nyingine ambayo mnaweza kumsaidia Konde boy basi ruksaaa walimwengu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags