Harmonize ajibebea tuzo tatu Marekani

Harmonize ajibebea tuzo tatu Marekani

Msanii wa muziki nchini #Harmonize ameshinda tuzo tatu nchini #Marekani usiku wa kuamkia leo

Harmonize ameshinda tuzo hizo za #AEUSA kwenye vipengele vya Artist of the Year 2023, Best Music Video (Single Again), King of the East and Bongo na Afro Bongo Flavour.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags