Harmonize afunguka mambo mzito

Harmonize afunguka mambo mzito

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajab Abdul maarufu kama Harmonize ametoa ujumbe tata katika ukurasa wake ya Instagram kitendo ambacho kimetafsiriwa huwenda kuna mtu anamjibu.

Katika ukurasa huo Harmonize ameandika “Vijana ni vyema kujifunza ukimsaidia mtu sio lazima umdai fadhila, maana kama ndio hivyo basi Tanzania yote inanidai pia.

“Ukishapokea mamilioni ya shilingi 600M ukishavutia unga yakiwa yanakaribia kuisha ni vyema kuyatuliza au kuyadai fadhila…!!! Pia vijana jitahidi kutofautisha kipi ni hatari kati ya mihagarati na huo unga unao wakondesha…..!!! vijana jitahidini kutofautisha kati yaw wewe wenye miaka 11 na miaka 6 umefika wapi….ameongeza

“Mana Baar ni zile zile huku USA licha ya kuvimba kote mkiwa jiji la Mama Samia..!!!Vijana ni vyema kuendelea kuwalipa wakina Mama Levo waendelee kutukana watu unaotaka wakuheshimu huku ukiamini watakufa kimziki bila kujua unawalipia promotion,” ameandika Harmonize na kumalizia

“Vijana jifunze kupost msanii wako akitoa wimbo sio kuumia kwa kutolewa kwenye collabo na sio kutafuta pakutokea kupitia kijana mwenzio sio vizurii kaka,” ameandika

 

 

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags