Harmonize afuata nyayo za Bob Marley

Harmonize afuata nyayo za Bob Marley

Na Asha Charles

Alooooweee!!watu wangu I hope ni buheri wa afya kabisaa, simnaelewa haka ka vibe lakini, it’ fridayyyyy! katika ulimwengu wa kukusogezea mastory yaliotrend mtandaoni sasa leo bwana kubwa kuliko kutoka kwa jeshiii kuonekana kuvutiwa na Bob Marley.

Sijui mnaona kama ninavyoona mimi kutoka kwa msanii maarufu nchini Harmonize kuwa inspired sana na wasanii wa nje siku za hivi usoni, basi bwana mwamba huyo baada ya kuweka picha ya Chris Brown kwa siku kadhaa kwenye Instagram profile yake.

Basi mwamba huyo amehamia upande wa pili kwa marehemu Bob Marley  kwa kuweka picha ya msanii huyo aliyekuwa mkongwe wa muziki wa miondoko ya Reggae ambae nyimbo zake zinafanya vizuri mpaka sasa.

Kitendo hichi kimetafasiriwa kuwa mwamba huyo anamkubali na kumuelewa Zaidi msanii huyo wa Raggae, lakini kwa upande wa mashabiki imeonekana kama Kondeboy anajipendekeza na kutafta kiki.

Haya wewe mwanangu sana unalipi la kusema je ni kweli wasemayo watu au nimaneno tuu ya waja, dondosha komenti yako hapo chini utueleze mtazamo wako katika hili.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags