Harmonize achagua upande wa Lunya

Harmonize achagua upande wa Lunya

Nyie nyieee!! Mambo yanaenda kasi kwa muziki wa Bongo Hip Hop ni baada ya Young killer Msodokii kumjibu Young Lunya kupitia Freestyle Session 6 na kushika kasi kwa ufuatiliwaji wa kazi zao hadi kufikia namba 3 na 4 kwenye Trending For Music you tube.

Harmonize aibuka na kuwanyooshea mikono wawili hao kwa kuchangamsha game ya Hip Hop na kutawala headlines mbalimbali tangu Lunya aachie Freestyle Session 5 na kumchana Msodoki.

Mwamba huyo kutoka umakondeni mwenye hits za ngoma za kutosha ameshare screenshot za kazi zao kutoka You tube na kuandika “Bongo Hip Hop stand up napenda kuona hii”. Kisha kuchagua upande wa Lunya.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags