Hanscana:  Afunguka changamoto za kushoot Colabo

Hanscana: Afunguka changamoto za kushoot Colabo

Ebwana eeh!! nithubutu kusema kwamba hakuna jambo jepesi kwenye maisha na kila kazi unayoifahamu inachangamoto zake hii imedhihirika kutoka kwa Director Hanscana ambaye ameshare moja ya changamoto anakutana nazo wakati akitekeleza majukumu yake.

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram Hanscana ameandika changamoto anazo kutananazo wakati wa kushoot nyimbo za kolabo kwa wasanii na kufunguka haya.
“Changamoto kubwa kushoot video za colabo, kuna mmoja anakuwa hayupo serious na uwekezaji wa mwenzie so anaweza fika set muda anaotaka na kuwaendesha vile anavojisikia yeye anasahau kuwa mwenzie kaweka hela na anachofanya ni kumtia hasara pasina sababu za msingi'' Aandika Hanscana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags