Haitham kuzikwa leo makaburi ya kisutu, mumewe aeleza Kwa uchungu

Haitham kuzikwa leo makaburi ya kisutu, mumewe aeleza Kwa uchungu

Boshen ambaye ni mume halali wa aliyekuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva marehemu Haitham ameweka wazi kuwa mke wake atapumzishwa leo kwenye makaburi ya kisutu.
 
Boshen amedai kuwa tukio hilo la kumpoteza mke wake limemuumiza sana kwani alikuwa ni mtu wake wa karibu kuliko hata familia yake, kila sehemu walikwa pamoja wanaongozana.
 
Mume huyo hakuwa na mengi ya kuzungumza akidai kuwa anauchungu uliyopitiliza hivyo hajui cha kusema kwa sababu anajisikia vibaya sana.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags