Gigy money: nimechoka kuonekana miyayusho

Gigy money: nimechoka kuonekana miyayusho

Na Saphinia Suleiman

Aiseee unaambiwa kumekucha tenaa bwana ambapo Msanii Gigy Money 'Mama Mayra' anasema amechoka kuonekana miyayusho kama baadhi ya watu wanavyomchukulia na kwa sasa anataka kuwa serious.

Gigy Money amesema hilo kwenye page yake ya Instagram kwa kuandika ujumbe  huu hapa chini.

"Maisha ni vile unaamua kuishi, ukitaka kuonekana serious au miyayusho is all on you baby, binafsi nimechoka kuonekana miyayusho niko serious kuliko akili yako inavyofanya kazi".






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags