Gigy: Mama yangu anatamani niolewe

Gigy: Mama yangu anatamani niolewe

Mwanamuziki #GigyMoney anadai kuwa yeye mama yake anatamani aolewe na mwanaume yeyote haijalishi anafanya kazi gani.

Ameyasema hayo mbele ya vyombo vya habari Gigy anasema mama yake yukotayari ampeleke hata mwanaume anaendesha boda boda atamkubali ili tu mwanamuziki huyo aolewekwasababu anatamani aolewe.

Aidha msanii huyo ameeza kuwa kwenye familia yao wenzake wote wameolewa bado yeye ila bado anajiona bado mdogo kuingia kwenye ndoa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags