Gamond ‘kocha’ bora wa mwezi

Gamond ‘kocha’ bora wa mwezi

‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #Yanga, #MiguelGamondi amechaguliwa kuwa ‘Kocha’ bora wa mwezi Agosti wa ‘Ligi’ kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2023/24 baada ya kuiongoza ‘timu’ yake kwa kushinda 5-0 kwenye mechi zote mbili za ‘Ligi’ dhidi ya KMC FC na JKT Tanzania.

Gamondi amewashinda Roberto Oliveira wa Simba na Hemed Morocco wa Geita aliyoingia nao kwenye kinyang'anyiro.

Ikumbukwe ‘Ligi’ ndiyo kwanza bado changa na kuna kitu cha kufanya kwa ‘kocha’ huyo azidi kubaki kwenye kilele cha ubora wake licha ‘ligi’ ya msimu huu kuonekana kupamba moto kwa ubora wa ‘timu’ zote zilizopo kwenye ‘ligi’ hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags