G Nako: Live band ndiyo muziki kwa sasa

G Nako: Live band ndiyo muziki kwa sasa

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini #GNako @gnakowarawara amewataka wasanaii wa muziki wa #Bongo wawe na mabadiliko kwa kufanya muziki wa live band kwenye show zao.

Ameyasema hayo akiwa katika mahojiano na moja ya chombo cha habari, G Nako amesema wasanii lazima wawe na mabadiliko kwa sababu kila siku muziki unakuwa na unaongezeka kwa kasi kubwa.

Msanii huyo aliwataka wasanii wenzake wajiongeze na wawe na mabadiliko kwa kufanya live band katika show mbalimbali.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags