Fungua moyo bahati iingie, Mwana Fa

Fungua moyo bahati iingie, Mwana Fa

Na Habiba Mohammed


Hellooow! Unaambiwa bwana kimya kingi kina mshindo mwanamziki pia mbunge  Mh. Hamis Mwinjuma  maarufu kama Mwana Fa, kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost video akionyesha maandalizi ya ujio wa wimbo wake mpya ambao amemshirikisha  mmakonde Harmonize unaopikwa na producer nguri katika tasnia ya mziki wa bongo P-Funk majani Pamoja na GachiB 

Hahahaha! Make hapa kwanza nicheke! Ila wanadamu mnamaneno nyie, jambo ambalo limewashangaza wengi baada ya Mwana Fa kudondosha ujumbe wenye maana kubwa sana kwenye Instagram yake na kusema “fungua moyo bahati iingie” ameandika Mwana Fa

Aloooooh! Mambo ni mengi muda ni mchache kama mnavyojua  meneja wa Harmonize ambae ni Kajala alikuwa ni mpenzi na mzazi wenzake na producer huyo anaepika hiyo nyimbo, je ujumbe huo wa Mh. Mbunge unaweza kuwapatanisha watatu hao?

Mmmmh! haya wenzangu na mimi utaweza mkutanisha baba mtoto wako au ex wako na mpenzi wako wa sasa uliye naye? shusha comment yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags