Fungate ya Okothee na aliyekuwa mumewe ndiyo chanzo cha balaa lote

Fungate ya Okothee na aliyekuwa mumewe ndiyo chanzo cha balaa lote

Mwanamuziki na mfanyabiashara kutoka nchini Kenya Akothee kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu kuachana na mume wake anayefahamika kama Denis Schweizer,'Omosh' huku akidai kuwa kipindi wameenda fungate aligundua kuwa kuna mambo ambayo asingeweza kuendelea nayo.

Akothee na Omosh walifunga ndoa yao Aprili mwaka huu na tetesi za kuvunjika kwa ndoa hiyo zilianza mapemba mwezi Oktaba, baada ya Akothee kubadilisha bio yake kwenye mitandao ya kijamii kutoka Mrs Denis Schweizer 'Omosh'hadi jina lake halisi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags