Foby Ajimaliza kwa Zuchu

Foby Ajimaliza kwa Zuchu

Msanii Foby bhana ameamua kutoa yake ya moyoni waswahili wanasema liwalo na liwe ameweka wazi kuhusu Anampenda msanii mwenzie wa kizazi kipya Zuchu.

Kupitia Instagram account yake Foby ameweka jumbe mbalimbali zikielezea nikiasi gani kamfia Mrembo huyo.

''Hakuna kipindi nimeishi kwa ugumu kama kile kipindi wanasema anataka kuolewa,Roho yangu ilikuwa kama ya kuazima,Mi niliamua kum_Unfollow kwasababu nikiona picha yake tu mshtuko naoupata utasema nipo nchi ya ukrain,

kwani hakuna wizara yoyote inayoweza kupatanisha watu nchini kwetu? Pls kuwe na wizara ya mahusiano na mapenzi haki vile kuna watu tunaumia na tutakuja kufa tumesimama nyie huyu mtoto mi atakuja kuniua huyu,” aandika Fobby






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags