Esma: Mwaka 2023 nimejifunza kuwa imara

Esma: Mwaka 2023 nimejifunza kuwa imara

Ikiwa zimebaki siku mbili kuumaliza mwaka 2023, dada wa nyota wa muziki Diamond, Esma Platnumz amefunguka na kuweka wazi kuwa mwaka huu umemfanya awe imara zaidi kutokana na yale aliyoyapitia.

Esma kupitia Instastory yake ameshusha ujumbe usemao mwaka 2023 umemfunza mengi haswa kuwa imara na kuwajua watu wote wanaomzunguka huku akimuomba Mungu mwaka 2024 asimpitishe kwenye yale yote aliyoyapitia mwaka 2023.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags