Ep ya Rayvanny yakamilika

Ep ya Rayvanny yakamilika

Yees! Hivyo ndivyo ninavyoanza bwana ambapo msanii Rayvanny amethibitisha kuwa Ep yake mpya "Flowers II" tayari imekamilika kwa asilimia 100.

Taarifa hizi bwana amezitoa kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo amethibitisha hilo licha ya kutotoa tarehe ya kuiachia Ep hiyo.

Nikukumbushe tu hii itakua ni mara ya kwanza kwa Rayvanny kuachia muendelezo kutoka kwenye moja ya Ep zake “Flowers”iliyoingia sokoni rasmi feb 9 mwaka 2020.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags