Enjoy ya Jux yamkosha Lupita

Enjoy ya Jux yamkosha Lupita

Ngoma ya Jux aliyomshirikisha Diamond Platnumz yaingia kwenye listi ya muigizaji kutoka nchini Kenya Lupita Nyong’o ukiwa ni wimbo namba saba kati ya kumi alizo ziorodhesha.

Lupita ame-share listi ya ngoma hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram akiweka wazi kuwa ndio nyimbo ambazo zinampa vibe la kutosha kwa mwaka 2024 ambapo listi hiyo akiipa jina la ‘Vibes for 2024’.

Wimbo huo wa ‘Enjoy’ mpaka kufikia sasa unazaidi ya watazamaji milioni 54 katika mtandao wa YouTube ikiwa ni miezi mitano tuu tangu kuachiwa kwake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags