Elba huenda akafungua studio Tz

Elba huenda akafungua studio Tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikutana na Idris Elba na Mkewe Sabrina ambao wao katika Uwekezaji wanataka kuja kuwekeza kuanzisha studio kwa ajili ya Filamu.

Hata hivyo mazungumzo ndiyo yameeanza kuhusiana na suala hilo  lakini yakifanikiwa ina maana hiyo studio itaweza kusaidia Tanzania lakini Afrika Mashariki na kati.

Aidha  Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus amezungumzia  kuhusu ziara ya Rais Samia nchini Uswizi na Senegal

Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na kufanya mazungumzo na Muigizaji huyo Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags