Drake atengeneza cheni ya heshima kwa mji wake

Drake atengeneza cheni ya heshima kwa mji wake

‘Rapa’ Drake ameendelea kuonesha thamani kubwa katika mji aliozaliwa baada ya kutengeneza ‘cheni’ ya heshima kwa mji wake na ‘timu’ za michezo anazozikubali, ambapo ‘cheni’ hiyo ilipewa jina la utani la 'Crown Jewel of Toronto.

Licha ya kuonekana vitu mbalimbali katika cheni hiyo pia lipo jengo maarufu la CN Tower la Toronto katika ‘cheni’ hiyo huku akidaiwa kuahidi ‘timu’ yoyote  itakayoshinda taji la ubingwa la NHL itasalia kwenye cheni hiyo kwa msimu mzima.

Katika ‘cheni’ hiyo pia kumewekwa nembo mbalimbali ambazo ni NHL, Tolonto NBA na Toronto Blue Jays ya MLB.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags