Drake amzawadia shabiki zaidi ya 125 milioni

Drake amzawadia shabiki zaidi ya 125 milioni

Rapper kutoka nchini Canada Drake ameendelea kuonesha jeuri ya pesa kwa mashabiki, kufuatia show zake za hivi karibuni ameonekana kuwazawadia ma-fans wake vitu mbalimbali.

Na hii imejidhihirisha kufuatia show yake ya hivi karibuni amempatia shabiki dola 50k ambazo ni zaidi ya tsh125 milioni, amefanya hivyo baada ya kuona shabiki huyo akiwa ameshika bango lililoandikwa ujumbe uliyoeleza kuwa  ameuza vitu vyake vya ndani aweze kupata pesa ya kulipia ‘tiketi’ ili afike kutazama show ya mkali huyo.

Msanii gani wa bongo anaweza akakufanya uuze vitu vyako vya ndani ili ununue ‘tiketi’ ya kwenda kutazama show yake?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags