Drake akatiza mitaani na kinyago cha mbwa

Drake akatiza mitaani na kinyago cha mbwa

Rapa kutoka nchini Marekani Drake, @champagnepapi ameonekana akikatiza katika mitaa ya hotel aliyokuwa amefikia wakatu akisubiri kufanya performance Barclays Center , huku usoni mwake akiwa amevalia kinyago cha mbwa (Dog mask).

Drake kwa muonekano huo amewavutia mashabiki wengi kutokana na surprise hiyo ya kukatiza mitaani akiwa amevalia kinyago hicho.

Licha ya kujitokeza na muonekano huo inaelezwa kuwa, muonekano huo ni sehemu ya kutangaza ujio wa albamu yake mpya alioipa jina la ‘For all the Dogs”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags