Diva: mimi ndiye mwanamke ninaye nukia zaidi tanzania

Diva: mimi ndiye mwanamke ninaye nukia zaidi tanzania

Mtangazaji  Diva amewaacha hoi mashabiki baada ya kueleza kuwa yeye ndo mwanamke anayenukia vizuri Tanzania nzima.

Diva ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam, kwa kusema,

“Mimi ni mwanamke ninaye nukia kuliko mwanamke yoyote Tanzania and speaking of kunukia wenyewe mmeona, mimi nina perfum zaidi ya mia moja”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags