Diamond na Abdukiba kwenye wimbo mmoja

Diamond na Abdukiba kwenye wimbo mmoja

Nyota wa muziki Diamondplatnumz amesema kuwa inawezekana kabla ya kuanza kwa #WasafiFestival anatarajia Abdukiba  atatoa ngoma ambayo ameifanya pamoja na Diamond.

Wakati akisema hayo #Diamond amedai ameusikia wimbo wa mnyama uliyoimbwa na Alikiba kwa ajili ya Simba day, kuwa ni wimbo mzuri na ameupenda, lakini pia amedai  kuwa ikipendeza Alikiba na Harmonize atapenda kuwaona kwenye Wasafi Festival kwani Alikiba ni msanii mkubwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags