Diamond msanii bora 2021

Diamond msanii bora 2021

Ebwana eeeh!! Moja kati ya stori ambayo imebamba huko mitandaoni bwana ni kuhusiana na Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamondplatnumz ameshinda Tuzo ya msanii bora wa mwaka.

Diamond platnumz ameshinda Tuzo hiyo ya msanii bora wa  mwaka 2021 katika Tuzo za AEAUSAzilizofanyika usiku wa kuamkia jana.

Yaap mambo yako hivyo bwana diamondplatnumz amefunga mwaka kwa stayle hiyo bwana kama unalolote unaweza kushare nasi kupitia website yetu www.mwananchi scoop.co.tz.

 






Comments 1


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags