De Rossi amerithi kiti cha Mourinho

De Rossi amerithi kiti cha Mourinho

Baada ya ‘klabu’ ya ASRoma kumtimua aliyekuwa ‘kocha’ wa ‘timu’ hiyo Jose Mourinho, sasa ‘klabu’ hiyo imethibitisha kumteuwa kiungo wao wa zamani #DanielleDeRossi kuwa ‘kocha’ mkuu ‘klabuni’ hapo kwa mkataba wa mwaka mmoja.

De Rossi mwenye umri wa miaka 40 amechukua nafasi hiyo baada Mourinho kuachia nafasi kwa kutofanikisha malengo ya ‘timu’ hiyo kwa miaka miwili.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags