Davido na familia yake kwenye onesho Atlanta

Davido na familia yake kwenye onesho Atlanta

Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #Davido ajumuika na familia yake baada ya onesho lake alilolifanya katika mjini Georgia nchini Atlanta.

Mwanamuziki huyo akiwa katika onesho hilo hakuishia tu kujaza uwanja wa State Farm Arena yenye uwezo wa kichukua watu elfu 10 nchini humo bali alishangaza umati kwa burudani ya kusisimua kwenye Tamasha la Away Festival.

Baada ya show hiyo alionekana pamoja na baba yake, Adedeji Adeleke, na mkewe, Chioma Adeleke kwenye picha ya pamoja wakifurahia baada ya kazi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post