Davido kutoa msaada

Davido kutoa msaada

Msanii kutoka nchini Nigeria  David Adedeji maarufu Davido amekuwa na Moyo wa kusaidia na kurudisha kwa Jamii kwani ametangaza kutoa Msaada kwa wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima

Davido kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kwamba ile Pesa aliyochangiwa kwaajili ya Birthday basi itaenda kusaidia wasiojiweza na wenye uhitaji mtaani

Nikukumbushe tu kuwa  Davido aliomba kuchangiwa Pesa hivi karibuni na ndani ya siku mbili tu amesema amepata 200 Million Naira ambazo ni zaidi ya TSH.BILIONI 1.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags