Davido avunja rekodi Apple music

Davido avunja rekodi Apple music

Star wa muziki Nchini Nigeria, David Adeleke maarufu kama Davido amevunja rekodi katika mtandao wa kuskiliza muziki wa Apple music kwa mwaka huu 2021.

Davido kupitia mtandao huo ameingiza ngoma 5 kwa mwaka huu zilizoshika nafasi ya kwanza na kuvunja rekodi ya kuingiza nyimbo nyingi katika mtandao huo.

Nyimbo zilizoingia ni pamoja na zile alizoshirikishwa na wasanii wenzake kama @KeStarRemix ya @focalist , For You ya @tenientertainer , Chocho alioshirikishwa na @zlatan_ibile, Somebody ya @peruzzi_vibes pamoja na  High alioshirikishwa na @adekunlegol.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags