Davido amzawadia milioni 24 mfanyakazi wa hoteli

Davido amzawadia milioni 24 mfanyakazi wa hoteli

Msanii kutoka nchini Nigeria #Davido amzawadia shilingi milioni 24 za kitanzania, mwanadada Kekwaru ngozi Mary, ambaye ni mfanyakazi wa hoteli iliyoko  Logos, baada ya mrembo huyo kuokota dola elfu 70 ambazo Davido alikuwa amezisahau hotelini hapo.

Kutokana na kitendo hicho cha kiungwana mkali huyo wa Unavailable, hakuona shida kumpatia bidada  kiasi hicho cha pesa na kisha kufanya nae mazungumzo kwa njia ya video call.

Vipi ungekuwa wewe ungerudisha pesa hizo?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags