Cristiano Ronaldo aonesha upendo kwa binti mwenye ulemavu Saudi Arabia

Cristiano Ronaldo aonesha upendo kwa binti mwenye ulemavu Saudi Arabia

Nyota wa ‘klabu’ ya Al-Nassr Cristiano Ronaldo aonekana kupendwa na mashabiki wa kila rika katika nchi ya Saudi Arabia, katika ukurasa wa ‘klabu’yake wame-share video ya mchezaji huyo akiwa amemtembelea binti mwenye ulemavu wa miguu.

Hata hivyo CR7 aliweza kumzawadia binti huyo 'jezi' na picha yake kama kumbukumbu kwa shabiki huyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags