Cr7 apokelewa vizuri Iran, Mashabiki wakimbiza gari

Cr7 apokelewa vizuri Iran, Mashabiki wakimbiza gari

Tazama mashabiki kutoka nchini Iran walivyo kimbiza gari alilopanda nyota wa Al Nassr Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake huku ‘Klabu’ hiyo ikilazimika kusitisha mazoezi yao jana Jumatatu nchini humo, kwa sababu ya umati mkubwa wa watu waliofurika kumuona mchezaji huyo.

Inaelezwa kuwa ni mara ya kwanza kwa CR 7 kufika nchini humo.Mchezaji gani wa bongo unatamani akienda nchi za kigeni apokelewa kwa shangwe kama la Cr7?
.
.
.
#MwnanchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post