Coy: Sijawahi kuwa na mwanamke wa kitanzania, siumizwi na mapenzi

Coy: Sijawahi kuwa na mwanamke wa kitanzania, siumizwi na mapenzi

Mchekeshaji #CoyMzungu amedai kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yeyote wa kitanzani wala mzungu.

Ameyasema hayo katika mahojiano na vyombo vya habari anaeleza yeye hajawahi na hakumbuki kama aliwahi ku-date na wanawake wa kitanzania hata wa kizungu kwa sababu yeye hasumbuliwi na mapenzi na swala hilo halimpi shida katika maisha yake.

Licha ya hayo Coy anasema kuwa akivuta kumbukumbu zake anakumbuka aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke toka nchini Peru na hajui kama wanawake wa Tanzania kama wanajua mapenzi.

 

Je unakubaliana na kauli ya Coy kuwa hana mwanamke Tanzania?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags