Chris Brown yuko huru sasa

Chris Brown yuko huru sasa

Staa wa muziki nchini Marekan,i Christopher Maurice maarufu kama Chris Brown, mwezi June mwaka huu aliripotiwa kufanya makosa ya kumchapa makofi mwanamke mmoja hadi kulidondosha wigi lake huko nyumbani kwake Sun Fernando.

Chris Brown anaripotiwa kuwa alifanya kitendo hicho kilichotafsiriwa kuwa ni undalilishaji kwa mwanamke.

Hata hivyo kwa mujibu wa Rollingstone nyota huyo hatakabiliwa na mastaka yoyote baada ya wakili wa jiji la Los Angeles kuthibitisha kuwa hakuna ushahidi wa kutosha katika kesi hiyo.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags