Chris Brown : Watoto wangu ni wathamani sana

Chris Brown : Watoto wangu ni wathamani sana

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Chris Brown kupitia ukurasa wake wa instagram ameonyesha hisia zake kwa watoto wake baada ya ku-share ‘picha’ akiwa na watoto wake na kueleza kuwa ndiyo kitu cha thamani katika maisha yake.

Brown ame-share ‘picha’ hizo na video akiwa na watoto wake alizoambatanisha na jumbe usemao kuwa watoto wake ndio moyo wake na ndio watu wa thamani sana katika maisha yake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags