Chris Brown atoza Milioni 2 kupiga picha na fans wake

Chris Brown atoza Milioni 2 kupiga picha na fans wake

Msanii maarufu wa RnB na Pop duniani, Chris Brown amejikuta akiingia katika trends mitandaoni baada ya picha alizopiga na fans wake katika event yake ya 'Meet and Greet' kusambaa, huku msanii huyo akipiga picha za mahaba na fans wake.


Brown alicharge Dola 1000 sawa na Milioni 2.3 kwaajili ya kuweza kupiga naye picha.

Hata hivyo, watu wengi wamekuwa wakijudge picha hizo na kuuliza, je is it worth it?


Mmoja kati ya watu mitandaoni aliandika kuwa, "Chris Brown has managed to make all his fans looks like his girlfriend," yaani akimaanisha, Brown amefanikiwa kufanya kila msichana kuonekana kama ni mchumba wake.


Comment bwana hapo utuambie ni msanii gani upo tayari kutoa milioni 2 kupiga nae picha???






Comments 1


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags