Chris Brown ampa dongo Kanye West

Chris Brown ampa dongo Kanye West

Ohooo Star wa muziki nchini Marekani Chris brown kupitia ukurasa wake wa Instagram kwenye Insta-story ameandika ujumbe wenye utata kwa Kanye West uliotafsiriwa kuwa ni Dongo kwa Rapa huyo.

Unaambiwa hii ni bada ya kuachiwa kwa Album ya Yeezy “DONDA” August 29, 2021 siku ya jumamosi.

Aidha sio Breezy pekee aliyemjia juu Rapa huyo baada ya jutoka kwa #DONDA pia Soulja ambaye verse zake zimeondokewa kwenye Ngoma ya Remote Control nakuahidi kum -Disi katika Ngoma yake inayofuata






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags